Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya ...
Iwapo wazazi watazingatia malezi kwa siku 1000 za kwanza zitasaidia kumkinga mtoto na maradhi 13 ikiwamo kupunguza vifo vya ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa ...
Mawaziri wameshambulia kujibu hoja za wabunge, huku Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo akitaja mikakati ya ...
Serikali imezialika sekta binafsi, hususan wamiliki na waendeshaji wa viwanda juu ya fursa mpya ya kutumia mabaki ya ...
Mkuu wa Shule ya Sekondari Ormelili, Hapriday Msomba amewataka wanafunzi wa shule hiyo kutokaa kimya bali wapaze sauti dhidi ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amewataka wananchi kuhakikisha wanazifahamu na kuzitumia anuani ...
Watendaji wakuu wastaafu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamemwelezea aliyekuwa kiongozi mkuu wa ...
Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikitangaza ajira 1,596, wadau wa uchumi na wafanyabiashara wamesema zitasaidia ...
Imeelezwa kuwa, kujiamini, kujitambua na ushirikiano kwa wanawake ni mongoni mwa mambo yatakayochochea kundi hilo kufikia ...
Licha ya Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kutumia kodi na mikopo, ushiriki wa sekta binafsi umetajwa ...
Waliokuwa wateja wa Benki ya FBME zaidi ya 6,000 wameiangukia Serikali wakitaka kuharakishwa kwa mchakato wa malipo ya amana ...