RAIS Samia Suluhu Hassan, amekitaka Chama cha Mapinduzi kutoruhusu kunyemelewa na wanachama kiburi bali kulinda heshima ya chama.
POLISI nchini Uganda inawashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki na ...
Bilionea Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania $TANZANIA, akilenga kuongeza wigo wa matumizi ya ...
RIYADH:SERIKALI  ya Saudi Arabia imesema haitaanzisha uhusiano na Israel hadi taifa la Palestina. Mwanamfalme Mohammed bin ...
MATAMSHI ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu pendekezo la Marekani kuchukua udhibiti wa Gaza yamekosolewa vikali na ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ferdnand Ndikuriyo ambaye raia wa Burundi, kutumikia kifungo miaka mitatu jela.
MAKAMU Mwenyekiti wa (CCM) Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, amewataka wana-CCM kuhakikisha chama hicho kinaendelea kushika dola ...
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Ushirombo iliyopo wilayani Bukombe mkoa wa Geita wameeleza kuguswa na Kampeni ya ...
SHIRIKA la msaada wa kibinadamu la Marekani USAID limetangaza kuwapumzisha kazi kwa muda wafanyakazi wake dunia nzima kuanzia ...
Kwa upande wa Meneja Msaidizi wa Mgodi wa Mawe wa Ndolela (Ndolela Quarry) Hilter Ranjiti amesema tangu kuanzishwa kwa mgodi ...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM imedhamiria kuwa uchaguzi ujao utakuwa ni wa ...
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amechukua hatua ya kumaliza mzozo kati yake na utawala wa Marekani kuhusu sheria mpya ...