UKISIKIA kata mti panda mti, ndicho kilichofanywa na Yanga baada ya mabosi wa klabu hiyo kushtushwa na uamuzi wa ghafla wa ...
LICHA ya kupeleka ombi la kuvunja mkataba ili aondoke klabuni kwa kilichoelezwa amepata ofa nono kutoka CR Belouizdad ya ...
Licha ya Mudrik kuondoka Zanzibar akiwa amefunga mabao manane, rekodi zinaonyesha washambuliaji wengi kutoka Zenji ...
Matokeo ya mchezo wa kwanza Simba ilipokuwa nyumbani ilishinda 4-0 dhidi ya Fountain Gate kupitia wafungaji Edwin Balua, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua na Valentino Mashaka.
KWA miaka 21 kutoka 1993 hadi 2014, Faryd Mondragon alilinda nyavu za timu ya kandanda ya Colombia na ni pale alipojeruhiwa ...
MWIMBAJI wa Afrobeats kutokea Nigeria, Tems, 30, ni miongoni mwa washindi walioweka rekodi katika tuzo za 67 za Grammy 2025 ...
Kati ya penalti saba ilizopata Simba, nne zimefungwa na mshambuliaji Leonel Ateba, huku tatu zikiwekwa wavuni na kiungo ...
LICHA ya kuondoka kwa kocha Sead Ramovic, moto wa Yanga katika Ligi Kuu Bara haujapoa baada ya jioni ya leo kuinyoosha bila huruma KenGold iliyofanya usajili wa maana kupitia dirisha dogo kwa kuifumua ...
STRAIKA, Harry Kane atashusha bei yake anayouzwa iliyowekwa kwenye kipengele cha mkataba wake huko Bayern Munich itakapofika ...
JUMAPILI ilikuwa burudani kwa wapenzi wa soka waliposhuhudia mechi kali ya Ligi Kuu England wakati Arsenal ikiifunga ...
Rashford amefunga mabao 12 na kuasisti mara tatu katika mechi 33 alizochezea Man United kwenye michuano ya Ulaya. Na sasa huko Villa Park, Rashford atakwenda kuungana na Marco Asensio, ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye mbioni kujiunga na CR Belouizdad ya Algeria atavuta mshahara wa kibosi ...